Connect with us

AUDIO | Lugano Kulanga – Mwamba Wangu

Music

AUDIO | Lugano Kulanga – Mwamba Wangu

Lugano Kulanga - Mwamba Wangu

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tunamtambulisha kwako Mthiologia Lugano Kulanga kupitia wimbo wake mzuri unaoitwa Mwamba Wangu.

“Mwamba Wangu ni wimbo ninao mzungumzia Yesu na uzuri wake katikati ya maisha yangu na maisha ya wengi katika shida akiwa Mwamba katika udhaifu akiwa Mwamba na katika ahadi zake bado akiwa mwamba.” – Lugano Kulanga

Karibu kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Eimen.

 

Connect:
WhatsApp: +255 758 615 121
Facebook: Luganokulanga
Instagram: @official_Luganokulanga
Youtube: Pastor LuG

Gospo Media inapatikana Google Play Store, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,418 other subscribers

To Top