Connect with us

Gospomedia

AUDIO | Lemy Zadock ft. Mwandoboka – SALAMA YANGU

Music

AUDIO | Lemy Zadock ft. Mwandoboka – SALAMA YANGU

Lemy Zadock ft. Mwandoboka - SALAMA YANGU

Kwa mara nyingine kutoka Tanzania mwimbaji Lemy Zadock ameachia wimbo wake mpya unaitwa SALAMA YANGU akiwa amemshirikisha Mwandoboka.

“Huu ni wimbo unaoelezea ukuu wa Mungu kupitia mwanaye YESU, Ni kweli kwamba maisha ya mwanadamu yanamhitaji Mungu asilimia 100 ili awe salama hivyo ili mtu yoyote awe salama lazima amfanye YESU wa kwanza.” – Lemy Zadock

Karibu kusikiliza wimbo huu, Barikiwa!

Connect:
Whatsapp: +255 757 375 820, +255 765 809 783
Facebook: Lemy Zadock
Instagram: @lemyzadock
YouTube: LEMY ZADOCK

Gospo Media inapatikana Google Play Store, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,534 other subscribers

To Top