Connect with us

AUDIO | Gideon Paul – JINA LA MWANA KONDOO

Music

AUDIO | Gideon Paul – JINA LA MWANA KONDOO

Gideon Paul - JINA LA MWANA KONDOO

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tunamtambulisha kwako Gideon Paul kupitia wimbo unaoitwa JINA LA MWANA KONDOO.

“JINA LA MWANAKONDOO NI WIMBO UNAOFUNUA UTUKUFU NA NGUVU YA JINA LA MUNGU WETU NA MAMLAKA YA JINA LA YESU KRISTO.” – Gideon Paul

Kipekee tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu, Barikiwa!

Connect:
WhatsApp: +255 788 097 770
Facebook: Gideon Paul Magangira
Instagram: @gospelboygideon
Youtube: Gideon Paul

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,507 other subscribers

To Top