Connect with us

AUDIO | COVID 19 UTAPITA KAMA 2019 – 255 CHH Cypher

Music

AUDIO | COVID 19 UTAPITA KAMA 2019 – 255 CHH Cypher

AUDIO | COVID 19 UTAPITA KAMA 2019 - 255 CHH Cypher

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 leo nimekusogezea wimbo unaoitwa COVID 19 UTAPITA KAMA 2019 uliombwa na kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HIPHOP linalofahamika kama 255 CHH Cypher.

“Twajua kila lililo baya latoka kwa mwovu, na twajua hakika Mungu yu upande wetu katika kila hali tunayopitia, mlipuko huu umeondoka na ndugu zetu, biashara, na vingine vingi tulivyovijali lakini tumaini letu li thabiti kwa Mungu. Tumemwamini na tunamshukuru kutuvusha kwa hili pia. Endelea kuchukua tahadhari kujikinga na kuwalinda walio karibu nawe kwa kuvaa barakoa na kuosha mikono yako kwa sabuni.”- Novic

Karibu kusikiliza wimbo huu barikiwa, Eimen.

Connect:
Youtube: Novic BCvm | By Christ Via Me

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,507 other subscribers

To Top