Connect with us

AUDIO | Anna Maboya – Wastahili Sifa

Music

AUDIO | Anna Maboya – Wastahili Sifa

AUDIO | Anna Maboya - Wastahili Sifa

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania Anna Maboya ameachia wimbo mpya wa sifa unaoitwa WASTAHILI SIFA.

“Kwasabu Bwana Mungu ndiye anastahili sifa juu ya mambo mengi mema ametenda katika maisha yetu. Pia anastahili sifa juu ya uzuri wake, kuna vitu vizuri Mungu anatenda kwetu ambavyo hamna mwanadamu anayeweza kutenda.Lengo la wimbo wa wastahili sifa nikuelezea ukuu na uzuri wa Bwana Mungu wetu katika maisha Yetu.” – Anna Maboya

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Eimen.

Connect:
WhatsApp: +255 658 266 786
Facebook: Anna Maboya
Instagram: @annamaboya
Youtube: Anna Maboya

Gospo Media inapatikana Google Play, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,419 other subscribers

To Top