Connect with us

AUDIO | Agnes Link ft. Alphonce Mutema – U MWEMA

Video

AUDIO | Agnes Link ft. Alphonce Mutema – U MWEMA

AUDIO | Agnes Link ft. Alphonce Mutema - U MWEMA

Kutoka kwenye albamu ya tatu iitwayo SALVATION mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Ujerumani Agnes Link ameachia wimbo mpya unaoitwa U MWEMA akiwa amemshirikisha Alphonce Mutema.

“Mountains can depart, the hills can be removed
But Your kindness shall not depart, from my life
Your Covenant, of Peace
Shall not depart in me.” – Agness Link

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika utakubariki, Eimen.

Connect:
Facebook: Agnes Link
Instagram: @agnesslinkofficial
Youtube: AgnesLink

Gospo Media inapatikana Google Play Store, Pakua App yetu HAPA upate nyimbo mpya moja kwa moja kwenye simu yako.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,415 other subscribers

To Top