Connect with us

VIDEO | Paul Clement – Umezungu kwa na Sifa

Video

VIDEO | Paul Clement – Umezungu kwa na Sifa

Paul Clement - Umezungu kwa na Sifa

Kwa mara nyingine tena mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Paul Clement ameachia (live version) ya video ya wimbo wake unaoitwa Umezungukwa na Sifa.

Umezungukwa na Sifa ni moja ya kati ya nyimbo zilizo katika list ya album yake ya AWE ikiwa katika mfumo wa DVD Live Recording.

Kipekee tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu (LIVE) na hakika utabarikiwa kwa namna ya pekee, Amen.

Connect:
WhatsApp: +255 625 661 862
Facebook: Paul Clement
Instagram: @minister_paulclement
YouTube: Paul Clement

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,419 other subscribers

To Top