Connect with us

Gospomedia

VIDEO | Evelyn Wanjiru – Sitaogopa (Live)

Music

VIDEO | Evelyn Wanjiru – Sitaogopa (Live)

Evelyn Wanjiru - Sitaogopa (Live)

Kutoka nchini Kenya kwa mara nyingine tena tumekusogezea video ya wimbo unaoitwa Sitaogopa kutoka kwa mtumishi wa Mungu Evelyn Wanjiru hii ikiwa ni Live version iliyofanyika kwenye tamasha la Praise Atmosphere 2019 huko nchini Kenya.

Kipekee tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa, Eimen.

Connect:
Facebook: Evelyn Wanjiru
Instagram: @evelyn_wanjiru
Twitter: @evelynwanjiru_a
Youtube: Evelyn Wanjiru

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,537 other subscribers

To Top