Connect with us

VIDEO | Entujael Msangi ft. Ambwene Mwasongwe – NIKO NURUNI

Video

VIDEO | Entujael Msangi ft. Ambwene Mwasongwe – NIKO NURUNI

Habari Njema kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Entujael Msangi ambaye kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 ameachia video mpya ya wimbo wake mzuri unaoitwa NIKO NURUNI akiwa amemshirikisha mkongwe Ambwene Mwasongwe.

“NIKO NURUNI ni wimbo mzuri uliobeba ujumbe unaogusa kwa namna moja ama nyingine maisha ya wengi wetu.” – Entujael

Kipekee tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa, Eimen.

Connect:
WhatsApp: +255 756 557 731
Facebook: Entujael Msangi
Instagram: @entujaelmsangi
YouTube: Entujael Msangi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,419 other subscribers

To Top