Connect with us

AUDIO | Umenihurumia – Lemy Zadock

Music

AUDIO | Umenihurumia – Lemy Zadock

Umenihurumia - Lemy Zadock

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tunamtambulisha kwako mwimbaji Lemy Zadock kupitia wimbo wake unaoitwa UMENIHURUMIA.

“Huu ni wimbo ambao MUNGU amenipatia baada ya kunipitisha kwenye shule ambayo kwa uweza wa kibinadamu nilishindwa, ila alinidhihirishia uweza na Nguvu zake kama alivomhurumia AYUBU KATIKA YOHANA 11:1-6, Nami amenihurumia hata amenipa wimbo huu. Nyimbo hii ina lengo la kukutia Moyo wewe unayehisi kurudi nyuma kwa sababu ya dhoruba unazopitia lakuamini ni kwamba dharuba zote unazopitia uko na YESU HIVO USIOGOPE.” – Lemy

Kipekee tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa na kuinuliwa, Eimen.

Connect::
Whatsapp: +255 757 375 820, +255 765 809 783
Facebook: Lemy Zadock
Instagram: @lemyzadock
YouTube: LEMY ZADOCK

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,419 other subscribers

To Top