Connect with us

AUDIO | Asagwile – Asante Baba

Music

AUDIO | Asagwile – Asante Baba

AUDIO | Asagwile - Asante Baba

Mshindi wa pili Bongo Star Search (BSS 2018) Assagwile Mwasongwe kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 anaitambulisha wimbo wake mpya unaoitwa Asante Baba.

“Asante baba ni wimbo unaozungumzia Moyo wa SHUKRANI kila jambo unalolifanya
Mungu ndio muanzilishi na ndiye anaweza kulimaliza hivyo basi shukuru kwa kila jambo” –  Asagwile

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Eimen.

Connect::
Whatsapp: +255 716 323 446
Facebook: Asagwile Mwasongwe
Instagram: @asagwilemwasongwe
YouTube: Asagwile Official

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,419 other subscribers

To Top