Connect with us

VIDEO | Sola Light – Tumekuja Kukuabudu

Video

VIDEO | Sola Light – Tumekuja Kukuabudu

Sola Light - Tumekuja Kukuabudu

Habari Njema kutoka nchini Kenya kwa mara nyingine leo tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri wa kuabudu unaoitwa Tumekuja Kukuabudu kutoka kwa Sola Light.

“TUMEKUJA KUKUABUDU ni wimbo ambao unamgusa Mungu pia unaleta uwepo wa kuabudu. Barikiwa sana unapotazama video hii najua hautabaki jinsi ulivyo, utabarikiwa.” – Sola Light

Kipekee tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa, Eimen.

Connect:
Facebook: Sola Light
Instagram: @solalight
YouTube: Sola Light

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,976 other subscribers

To Top