Connect with us

VIDEO | Sola Light ft. Solomon Mkubwa – Usilie

Video

VIDEO | Sola Light ft. Solomon Mkubwa – Usilie

Sola Light ft. Solomon Mkubwa - Usilie

Habari Njema kutoka nchini Kenya leo tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri wenye kuinua unaoitwa USILIE kutoka kwa Sola Light akiwa amemshirikisha mkongwe Solomon Mkubwa.

“USILIE ni wimbo ambao utafariji moyo wako kindani zaidi. Pengine kuna mambo unapitia Yesu yupo tayari kukujibu haja za moyo wako kupitia wimbo huu. Barikiwa kila unaposikiliza.” – Sola

Kipekee tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Eimen.

Connect:
Facebook: Sola Light | Solomon Mkubwa
Instagram: @solalight | @solomonmkubwa
YouTube: Sola Light | Solomon Mkubwa

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,976 other subscribers

To Top