Connect with us

VIDEO | Robert William – Sorry Lord ft. Daniel Ndunguru

Video

VIDEO | Robert William – Sorry Lord ft. Daniel Ndunguru

VIDEO | Robert William - Sorry Lord ft. Daniel Ndunguru

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Sorry Lord kutoka kwa rapa anayeendelea kufanya vizuri Afrika Mashariki akifahamika kama Robert William hapa akiwa amemshirikisha Daniel Ndunguru.

Sorry Lord ni wimbo uliozaliwa kutoka kwenye kitabu cha Mathayo 5:28 ambapo biblia inasema “lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake”. – Robert

Kipekee tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu na ubarikiwe na ujumbe huu, Eimen.

Connect:
Simu/WhatsApp: +255 687 336 644
Facebook: Robert William
Instagram: @robertwilliam_sg
Youtube: ROBERT WILLIAM

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,976 other subscribers

To Top