Connect with us

VIDEO | Praise Team TAG Forest One – Pokea Sifa

Video

VIDEO | Praise Team TAG Forest One – Pokea Sifa

VIDEO | Praise Team TAG Forest One - Pokea Sifa

Habari Njema kutoka jijini Mbeya Tanzania kwa mara ya kwanza tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri wa sifa unaoitwa Pokea Sifa kutoka Praise Team TAG Forest One.

Pokea Sifa ni moja kati ya nyimbo zinazotengeneza albamu iitwayo UNAISHI ikiwa katika mfumo wa DVD

Kipekee tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Eimen.

Connect:
Simu/WhatsApp: +255655871759 au +255756801416
Youtube: PRAISE TEAM T.A.G FOREST ONE

 

1 Comment

1 Comment

  1. isaka

    March 24, 2020 at 9:37 am

    mungu awabaliki sana na awatie nguvu katika uduma

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,976 other subscribers

To Top