Connect with us

VIDEO | Neema Gospel Choir – Africa Itainuka

Video

VIDEO | Neema Gospel Choir – Africa Itainuka

VIDEO | Neema Gospel Choir - Africa Itainuka

Habari Njema kutoka jijini Dar es salaam kwa mara nyingine tena tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri wa sifa unaoitwa Africa Itainuka kutoka Neema Gospel Choir ya kanisa la AIC Chang’ombe.

“Our Africa is blessed, It’s beautiful, It’s rich, It’s full with diversity. It’s time now to rise on our feet and Declaring God’s goodness. We thank God for unique colours, great wealth and unique beauty. We have seen the goodness of our God, 🙏🙏 and we have come to glorify your Name.” – Neema Gospel Choir

Kipekee tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utainuliwa, Amen.

Connect:
Simu/WhatsApp: +255 766 777 288
Facebook: Neema Gospel Choir
Instagram: @neemagospelchoir
Twittter: @neemagospelchoir
Youtube: Official Neema Gospel Choir

1 Comment

1 Comment

  1. isaka

    March 24, 2020 at 9:39 am

    ñice you song god bless for you and all members

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,976 other subscribers

To Top