Connect with us

VIDEO | Miriam Lukindo Mauki ft. Taz – No One

VIDEO | Miriam Lukindo Mauki ft. Taz - No One

Audio

VIDEO | Miriam Lukindo Mauki ft. Taz – No One

Miriam Lukindo Mauki ft. Taz - No One

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 mwimbaji wa nyimbo za Injili Miriam Lukindo wa Mauki ameachia video mpya ya wimbo wake mzuri unaoitwa No One akiwa amemshirikisha Taz Goem kutoka nchini Zambia.

Kipekee tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na Miriam lukindo kupitia
Simu/WhatsApp: +255 715 252 523
Facebook: Miriam Lukindo Mauki
Instagram: @miriamlukindowamauki
YouTube: MiriamLukindo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top