Connect with us

VIDEO | Hafsa Kazinja – NI MFALME

Video

VIDEO | Hafsa Kazinja – NI MFALME

VIDEO | Hafsa Kazinja - NI MFALME

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa NI MFALME kutoka kwa aliyekuwa mwimbaji wa Bongo Flava na sasa anamtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji huyu si mwingine bali ni Christine Kazinja al maarufu Hafsa Kazinja.

Kipekee tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa, Eimen.

Connect::
Simu/WhatsApp: +255 753 102 392
Facebook: Christine Kazinja (Hafsa)
Instagram: @christinekazinja
Youtube: NEW HAFSA KAZINJA CRISTINE

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,401 other subscribers

To Top