Connect with us

VIDEO | George William – Umeondoa

Video

VIDEO | George William – Umeondoa

George William - Umeondoa

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri wa kuabudu unaoitwa UMEONDOA kutoka kwa George William.

‘UMEONDOA’ is a song of dedication to God, that even when we’re in the valley of the shadow of death, we still acknowledge Him as our only hope. It is a song of faith and a commitment to God that after He has lifted us up from the miry places, we will forever Worship Him and give Him all the glory. I surely hope this song will revive your faith to God despite the challenges of life. Jesus loves you! – George William

Kipekee tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa, Eimen.

Connect:
WhatsApp: +255 717 805 890
Facebook: George William
Instagram: @george_william07
Youtube: George William

1 Comment

1 Comment

  1. erick mshiu

    March 23, 2020 at 4:21 pm

    wimbo huu umekuwa daraja kwangu MUNGU akuinue zaidi kaka, Mungu akupe kuvuka zaidi katika kila unalo fanya be bless much for this message

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,401 other subscribers

To Top