Connect with us

AUDIO | ZAIDI – Black Samaritan ft. Dona Jr. & Joshua Lyangwa

ZAIDI - Black Samaritan ft. Dona Jr. & Joshua Lyangwa

Audio

AUDIO | ZAIDI – Black Samaritan ft. Dona Jr. & Joshua Lyangwa

ZAIDI - Black Samaritan ft. Dona Jr. & Joshua Lyangwa

Mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop al maarufu Black Samaritan ameachia wimbo wake mpya unaoitwa ZAIDI akiwa amemshirikisha Dona Jr. na Joshua Lyangwa.

“Mungu ni zaidi ya vyote, zaidi ya tuonavyo zaidi ya viwango vyote.” – Black Samaritan

Kipekee tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa kwa ujumbe huu, Eimen.

Connect::
Whatsapp: +255 716 080 838
Facebook: Black Samaritan
Instagram: @black_samaritan
YouTube: black samaritan

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top