Connect with us

AUDIO | Sefania Amos – Nayainua Macho

Audio

AUDIO | Sefania Amos – Nayainua Macho

Sefania Amos - Nayainua Macho

Kutoka Dar es salaam Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mtumishi wa Mungu Sefania Amos kupiti wimbo wake mpya unaoitwa Nayainua Macho.

“MUNGU atabaki kuwa MUNGU hata iweje wengi tunapopitia magumu tunadhani kwamba MUNGU haoni na kujikuta kwenye dimbwi la kukata tamaa na kuona kwamba hatuwezi kuendelea.” – Sefania Amos

Akiongea na Gospomedia Sefania Amos amesema anahitaji mdhamini ili aweze kukamilisha albam yake iliyobeba ujumbe wa Mungu kwa ajili ya watu wake.

Kipekee tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa, Eimen.

Connect::
Whatsapp: +255 657 660 754 au +255 753 798 425
Facebook: mtumishi sefania Amos
Instagram: @sefaniaamos_official
YouTube: sefania Amos

1 Comment

1 Comment

  1. Barack

    March 28, 2020 at 6:12 pm

    Sefania Amos nayainua macho

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,369 other subscribers

To Top