Connect with us

AUDIO | Ni Salama Rohoni (Tenzi No 23) – Silvabel Msuya

Audio

AUDIO | Ni Salama Rohoni (Tenzi No 23) – Silvabel Msuya

Ni Salama Rohoni (Tenzi No 23) - Silvabel Msuya

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Silvabel Msuya ameachia wimbo mzuri wa tenzi unaoitwa Ni Salama Rohoni maalumu katika kipindi hiki cha Kwaresma.

Kipekee tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Eimen.

Connect:
Simu/WhatsApp: +255 752 737 202
Facebook: Silvabel Msuya
Instagram: @silvanusabel
Youtube: Silvabel Msuya

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,976 other subscribers

To Top