Connect with us

AUDIO | Mchungaji Wangu – Pasko Tonne

AUDIO | Mchungaji Wangu - Pasko Tonne

Audio

AUDIO | Mchungaji Wangu – Pasko Tonne

AUDIO | Mchungaji Wangu - Pasko Tonne

Habari Njema kutoka nchini Marekani kwa mara ya kwanza leo tunamtambulisha kwako mwimbaji Pasko Tonne kupitia wimbo wimbo wake mpya unaoitwa Mchungaji Wangu.

“Katika maisha tunaye MCHUNGAJI mmoja tu ambaye atushindia usiku na mchana kwa hiyo nyimbo hii nimeimba ili nikukumbushe kwamba usisahau kama unaye mlinzi Bwana Yesu aliye hai.” – Pasko Tonne

Kipekee tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki, Eimen.

Connect::
Whatsapp: +1 (623) 522-0056
Facebook: Pasko Tonne
Instagram: @paskotonne
YouTube: pasko Tonne

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top