Connect with us

AUDIO | Joel Ndwela – Mkono Wako

Audio

AUDIO | Joel Ndwela – Mkono Wako

Joel Ndwela - Mkono Wako

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tunamtambulisha kwako mwimbaji Joel Ndwela kupitia wimbo wake wa kwanza unaoitwa Mkono Wako.

“Kuna nyakati tunakwenda kinyume na mapenzi ya MUNGU, vile MUNGU anavyotaka tuenende na tujifunze, sivyo tunavyo fanya bali vile ambavyo MUNGU ataki tufanye ndivyo tunavyo fanya kuna wakati tunajutia yale tuyatendayo lakini bado twajikuta tuu katika makosa lakini kwasababu ya NEEMA ya MUNGU tunapata msamaha na MKONO WA BWANA SI MFUPI WAWEZA KUTUOKOA NA KUTUEPUSHA NA KILA AINA YA UOVU…AMEN ⛪.” – Joel Ndwela

Kipekee tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Eimen.

Connect::
Whatsapp: +255 719 788 969
Facebook: Joel Ndwela
Instagram: @joelndwela
YouTube: Joel Ndelwa

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,369 other subscribers

To Top