Connect with us

VIDEO | Upendo Nkone – UTULINDE BABA

Music

VIDEO | Upendo Nkone – UTULINDE BABA

Upendo Nkone - UTULINDE BABA

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tunaitambulisha kwako video mpya ya wimbo unaoitwa UTULINDE BABA kutoka kwa mwimbaji mkongwe Upendo Nkone.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa na kuinuliwa kipekee, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Upendo Nkone wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 754 339 302
Facebook: Upendo Nkone
Instagram: @upendonkone
YouTube: UpendoNkone

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,645 other subscribers

To Top