Connect with us

VIDEO | SUZIE – NIPE HATUA

VIDEO | SUZIE - NIPE HATUA

Audio

VIDEO | SUZIE – NIPE HATUA

VIDEO | SUZIE - NIPE HATUA

Habari Njema kutoka kwa Mwimbaji wa nyimbo za Injili Suzie Mahalu ambaye kwa mara ya kwanza ameachia ameachia video mpya ya wimbo wake NIPE HATUA.

“Ni mengi Mungu ametenda maishani mwetu,sasa mwambie Mungu akupe hatua nyingine zaidi kwa ajili ya utukufu wa Mungu.” – Suzie

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Suzie Mahalu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 280 817
Facebook: Suzan Pollycarp
Instagram: @suzanpollycarp
Youtube: Suzie P. Mahalu

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top