Connect with us

VIDEO | Rock Of Ages – Eunice Kemunto

Video

VIDEO | Rock Of Ages – Eunice Kemunto

VIDEO | Rock Of Ages - Eunice Kemunto

Habari Njema kutoka nchini Canada kwa mara nyingine tena Mtumishi wa Mungu Eunice Kemunto kwa mara nyingine tena ametusogezea video mpya ya wimbo wake mzuri unaoitwa Rock Of Ages.

“One of my favourite hymns since high school days (90’s). So glad that I could do it this way. I hope it blesses you, as it does to me every time” – Eunice

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Eunice Kemunto wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 7809 010 912
Facebook: Eunice Kemunto
Instagram: @kemunto_eunice
Youtube: Eunice Kemunto

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,013 other subscribers

To Top