Connect with us

VIDEO | Joshua Loobe – Ni MSHINDI

VIDEO | Joshua Loobe - Ni MSHINDI

Audio

VIDEO | Joshua Loobe – Ni MSHINDI

VIDEO | Joshua Loobe - Ni MSHINDI

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji Joshua Loobe kupitia video mpya ya wimbo wake wa shukrani unaoitwa NI MSHINDI.

“Nilijifunza kazi kubwa aliyoifanya Bwana Yesu pale Golgotha ili kumuokoa mwanadamu. Lakini sisi Binadamu tunapopitia mambo magumu tunakata tamaa na kusahau kazi kubwa aliyofanya YESU msalabani kwa ajili yetu.” – Joshua Loobe

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Joshua Loobe wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 483 384
Facebook: Josh R Ramadhan
Instagram: @joshrramadhan
Youtube: joshua loobe

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top