Connect with us

VIDEO | Henrick Mruma – Nataka Nitulie

VIDEO | Henrick Mruma - Nataka Nitulie

Audio

VIDEO | Henrick Mruma – Nataka Nitulie

VIDEO | Henrick Mruma - Nataka Nitulie

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tunamtambulisha kwako Henrick Mruma kupitia video mpya ya wimbo wake wa kuabudu unaoitwa Nataka Nitulie.

“Nataka Nitulie ni wimbo wa maombi kwa Mungu, Maombi katika nyakati ambazo tunakuwa na maswali mengi ambayo hatuna majibu yake na tunasubiri mambo ambayo tunayahitaji kwenye maisha huku tukiwa hatujui itatuchukua muda gani hadi tuyapate na kama ni kweli yataleta furaha na upenyo kwenye maisha yetu.” – Henrick

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri wa kuabudu na hakika utabarikiwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Henrick Mruma wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 657 128 555
Facebook: Henrick Mruma
Instagram: @henrickmruma
Youtube: Henrick Mruma

1 Comment

1 Comment

  1. Isaka

    February 18, 2020 at 3:53 pm

    Nyimbo nzuri sana mungu akubLiki sana nice you song

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top