Connect with us

VIDEO | Essence of Worship – Bwana Unatawala

Video

VIDEO | Essence of Worship – Bwana Unatawala

VIDEO | Essence of Worship - Bwana Unatawala

BWANA UNATAWALA ni wimbo unaobeba jina la albamu yao ya kwanza kutoka kwenye kundi la kusifu na kuabudu Essence of Worship ambao kwa mara nyingine tena wametusogezea video mpya ya wimbo huo wa kuabudu.

“Psalms 93:1 The LORD reigns, He is clothed with majesty; The LORD has clothed and girded Himself with strength; Indeed,the world is firmly established, it will not be moved.” –  Essence

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na kundi la Essence of Worship wasiliana nao kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 768 491 598 Facebook: Essence of Worship
Instagram: @essenceofworshipministries
Youtube: Essence Of Worship Ministries E.O.W

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,013 other subscribers

To Top