Connect with us

VIDEO | Elizabeth Mgaza – Kijana

VIDEO | Elizabeth Mgaza - Kijana

Audio

VIDEO | Elizabeth Mgaza – Kijana

VIDEO | Elizabeth Mgaza - Kijana

Habari Njema kutoka jijini Dar es salaam Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwanadada Elizabeth Mgaza kupitia video mpya ya wimbo wake mzuri unaoitwa KIJANA.

“Nilipata maono ya kutunga wimbo huu nikiwa naelewa kuna changamoto nyingi sana katika kipindi cha UJANA. Na kwa undani kabisa huu wimbo unaanza kunigusa mimi mwenyewe kwanza kabla ya mtu mwingine kwasababu nimeimba kitu cha uhalisia wa maisha yangu. Unaeleza jinsi nilivyokuwa hapo awali mpaka nilipoona ukuu wa Mungu na kuamua kugeuka bila kushurutishwa na mtu yeyote.” – Elizabeth Mgaza

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa kila wakati, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Elizabeth Mgaza wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 710 495 966
Facebook: Elizabeth Mgaza
Instagram: @elizabethmgaza
Youtube: Elizabeth Mgaza

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top