Connect with us

Nyimbo 10 Bora za Injili Zilizopendwa Zaidi Januari 2020

10 Bora

Nyimbo 10 Bora za Injili Zilizopendwa Zaidi Januari 2020

Nyimbo 10 Bora za Injili Zilizopendwa Zaidi Januari 2020

Bwana Yesu asifiwe! Baada ya kuvuka salama mwaka 2019 na sasa tupo mwaka 2020 kwa mara ya kwanza tumekusogezea nyimbo kumi zilizopendwa zaidi mwezi Januari 2020 katika anga la muziki wa Injili Afrika Mashariki.

1. Goodluck Gozbert – Nyakati
2. Essence of Worship – Ninapenda Nikuabudu
3. Martha Mwaipaja – Sipiganagi Mwenyewe
4. Paul Clement – With All My Heart
5. GUARDIAN ANGEL – KOSI
6. Hellen Muthoni ft. Zippie Gachengo – Mwaminifu
7. Eko Dydda – Tawala
8. Martha Mwaipaja – Amenisaidia
9. ZIMA/PULIZA – JABIDII
10. Benachi – Aje ft. Moji ShortBabaa

Kwa updates nyingi zaidi usiache kutembelea kurasa za mitandao yetu ya kijamii::
Facebook: GOSPO MEDIA
Instagram: @gospomedia
YouTube: Gospo Media

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,013 other subscribers

To Top