Connect with us

AUDIO | Victor Makaranga ft. Veronica Remmy – Ni Wewe Bwana

Audio

AUDIO | Victor Makaranga ft. Veronica Remmy – Ni Wewe Bwana

AUDIO | Victor Makaranga ft. Veronica Remmy - Ni Wewe Bwana

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa Ni Wewe Bwana kutoka kwa mtumishi wa Mungu Victor Makaranga.

“NI WEWE BWANA. MUNGU halinganishwi wala hafananishwi na kitu chochote. Anastahili kusifiwa na kuabudiwa ameumba mbingu pasipo nguzo kuonekana habari zake zinashangaza ulimwengu mzima.” – Victor

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Victor Makaranga wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 778 498 au +255 717 355 838
Facebook: Victor Makaranga
Instagram: @victormakaranga
Youtube: VICTOR MAKARANGA

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,013 other subscribers

To Top