Connect with us

AUDIO | The Don Ikobela – Sebaa

AUDIO | rrtThe Don Ikobela - Sebaa

Audio

AUDIO | The Don Ikobela – Sebaa

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili The Don Ikobela kupitia wimbo wake mpya unaoitwa Sebaa (akimaanisha Mungu kwa lugha ya Kisukuma).

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Daudi Mwanisenga wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 629 032 386
Facebook: Paschal Ikobela
Instagram: @ikobelapaschal
Youtube: Don Ikobela

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top