Connect with us

AUDIO | Renard Nickson – Upendo Wako

Audio

AUDIO | Renard Nickson – Upendo Wako

AUDIO | Renard Nickson - Upendo Wako

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa Upendo Wako kutoka kwa mwimbaji Renald Nickson akitokea jijini Mwanza.

“Upendo Wako ni wimbo unaoelezea Upendo wa Bwana wetu Yesu Kristo Kwa Jinsi alivyotuchagua na kutupenda kwa neema yake tu na si kwa kustahili kwetu au akili zetu.” – Renard

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Renard Nickson wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 743 806 080 au +255 762 834 269
Facebook: Renard Nickson
Instagram: @reny_nick
Youtube: Renard Nickson

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,013 other subscribers

To Top