Connect with us

AUDIO | Mpaji – Deogratius Mhozya

Audio

AUDIO | Mpaji – Deogratius Mhozya

Mpaji - Deogratius Mhozya

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili Deogratius Mhozya kupitia wimbo wake mpya unaoitwa MPAJI.

“Maandiko matakatifu yako wazi kabisa kuwa MUNGU wetu ndiye MPAJI wa vyote. Mungu ametupa vyote kwa upendo ni sisi tu wanadamu kwenda mbele zake kwa haki na kweli na kwa imani kupata kila hitaji tutakalo siku zote za maisha yetu.” – Deogratius

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Deogratius Mhozya wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 743 782 199
Instagram: @deogratiusmhozya
Youtube: Deogratius Mhozya

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,013 other subscribers

To Top