Connect with us

AUDIO | JRutta – Kwa Baba

AUDIO | JRutta - Kwa Baba

Audio

AUDIO | JRutta – Kwa Baba

AUDIO | JRutta - Kwa Baba

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 mwimbaji wa nyimbo za Injili JRutta ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Kwa Baba.

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na ni hakika kuwa utakubariki na kukuinua kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Jackson Rutta wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 767 514 515
Facebook: Jackson Rutta (JRutta)
Instagram: @officialjrutta
Youtube: Jrutta

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top