Connect with us

AUDIO | Gasper Giddson – Bado Nasubiri

AUDIO | Gasper Giddson - Bado Nasubiri

Audio

AUDIO | Gasper Giddson – Bado Nasubiri

AUDIO | Gasper Giddson - Bado Nasubiri

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji Gasper Giddson kupitia wimbo wake mpya unaoitwa Bado Nasubiri.

“Bado Nasubiri ni wimbo ambao Mungu amenipa wakati nikimsihi afanye juu yetu sote akanikumbisha hajawahi kushindwa na ameokoa wengi. Yakobo 5:11Angalieni, twawaita heri wao waliosubiri. Mmesikia habari ya subira yake Ayubu, mmeuona mwisho wa Bwana ya kwamba Bwana ni mwingi wa rehema, mwenye huruma.” – Gasper

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Gasper Giddson wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 763 360 959 au +255 719 846 552
Instagram: @gaspar_giddson
Youtube: Gaspar Giddson

3 Comments

3 Comments

 1. Anonymous

  February 8, 2020 at 12:43 pm

  Mubarikiwe sana Gospo Media

 2. Gaspar Giddson

  February 8, 2020 at 1:49 pm

  Barikiwa Sana Gospo Media

 3. Lads

  February 9, 2020 at 6:34 am

  Barikiwa mtu wa Mungu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top