Connect with us

AUDIO | Calvin John – Never Seen Before

Audio

AUDIO | Calvin John – Never Seen Before

AUDIO | Calvin John - Never Seen Before

Kwa mara nyingine tena kutoka jijini Dar es salaam leo tumekudondoshea wimbo mpya ya wimbo unaoitwa Never Seen Before kutoka kwa mkali wa sauti za Ki-injili Calvin John.

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa na kuguswa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Calvin John wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 676 154 912
Facebook: Calvin John
Instagram: @calvinjohn_official
Youtube: Calvin John

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,013 other subscribers

To Top