Connect with us

VIDEO | VASHONCEE – NITAKASE

Video

VIDEO | VASHONCEE – NITAKASE

VIDEO | VASHONCEE - NITAKASE

Habari Njema kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Vashoncee ambaye ametusogezea video mpya ya wimbo wake mzuri wa kuabudu unaoitwa NITAKASE.

“Hili ni ombi ya kuwa YESU atutakase.Dhambi imetutenga mbali na MUNGU,ni wakati wa kuomba toba na utakaso maana wokovu wetu umekaribia sana kuliko tulivyo amini. Zaburi 51:10-12.” – Vashoncee

Karibu kusikiliza video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa na kuinuliwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Vashoncee kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 714 359 168 +255 653 515 159
Facebook: Vancie Concee
Instagram: @vanceeconcee_official
Youtube: Vashoncee Ministries

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,013 other subscribers

To Top