Connect with us

VIDEO | UJUAYE KUNITOSHELEZA – Steven Munugwa

VIDEO | UJUAYE KUNITOSHELEZA - Steven Munugwa

Audio

VIDEO | UJUAYE KUNITOSHELEZA – Steven Munugwa

VIDEO | UJUAYE KUNITOSHELEZA - Steven Munugwa

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tunaitambulisha kwako video ya wimbo mzuri wa kuabudu unaoitwa UJUAYE KUNITOSHELEZA kwa mtumishi wa Mungu Steven Munugwa.

Tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu mzuri na ni hakika kuwa utabarikiwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Steven Munugwa wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 682 040
Facebook Page: Disciple Steven Munugwa Facebook: Steven Munugwa
Instagram: @dcpstevenmunugwa
Youtube: Steven Munugwa

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top