Connect with us

VIDEO | Obeid Mahandule – Mwema

Video

VIDEO | Obeid Mahandule – Mwema

VIDEO | Obeid Mahandule - Mwema

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tunamtambulisha mtumishi wa Mungu kwa njia ya uimbaji Obeid Mahandule na hii ni live video ya wimbo wake mpya wa sifa unaoitwa MWEMA.

Nakukaribisha kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa kwa namna ya pekee, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Obeid Mahandule wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 762 998 131
Facebook: Obeid Mahandule
Instagram: @obeidmahandule
Youtube: Obeid Mahandule

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

AUDIO | Ziyase - Shalapo

Audio

AUDIO | Ziyase – Shalapo

By February 26, 2020

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,808 other subscribers

To Top