Connect with us

VIDEO | Nissi Band – Ubabe Wako

VIDEO | Nissi Band - Ubabe Wako

Audio

VIDEO | Nissi Band – Ubabe Wako

VIDEO | Nissi Band - Ubabe Wako

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunaitambulisha kwako video mpya ya wimbo unaoitwa Ubabe Wako kutoka kundi la Nissi Band linalopatikana mjini Songea.

Ubabe Wako ni video ya nne kuachia ikiwa ni moja kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye mradi wa muziki (project) unaobebwa kwa jina la WE PRAY (Prayer Movement through Music) ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo 20 zikiwa kwenye mkazo na msisitizo wa maombi kupitia muziki.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa na kuinuliwa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Nissi Band wasiliana nao kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 658 795 657 au +255 767 464 615
Facebook: NissiBandtz
Instagram: @nissibandtz
Twitter: @nissiband_tz
Youtube: NissiBand TZ

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top