Connect with us

VIDEO | Neema Gospel Choir – NAPOKEA KIBALI

Video

VIDEO | Neema Gospel Choir – NAPOKEA KIBALI

VIDEO | Neema Gospel Choir - NAPOKEA KIBALI

Habari Njema kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri wa kuabudu unaoitwa NAPOKEA KIBALI kutoka kwaya ya Neema Gospel Choir ya kanisa la AIC Chang’ombe.

“Mungu wetu ni mwaminifu, anaposema neno huwa habadiliki..Muhimu ni kupokea kibali kutoka kwake tu.”

Karibu kutazama video hii njema na hakika utainuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na uongozi wa kwaya hii kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 766 777 288
Facebook: Neema Gospel Choir
Instagram: @neemagospelchoir
Twittter: @neemagospelchoir
Youtube: Official Neema Gospel Choir

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

AUDIO | Ziyase - Shalapo

Audio

AUDIO | Ziyase – Shalapo

By February 26, 2020

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,808 other subscribers

To Top