Connect with us

VIDEO | MOSES SIMKOKO – Yanawezekana

Video

VIDEO | MOSES SIMKOKO – Yanawezekana

VIDEO | MOSES SIMKOKO - Yanawezekana

Habari Njema kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Yanawezekana kutoka kwa Moses Simkoko.

“Yanawezekana, haijalishi ni mazingira ya namna gani unapitia kwa wakati huu lakini Neno la Mungu aliye hai likuimarishe siku ya leo kupitia wimbo huu kuwa yote kwake yeye aliye mkuu Yesu Kristo yanawezekana.” – Moses Simkoko

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na tunaamini kuwa utainuliwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Moses Simkoko wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 752 724 274
Facebook: Moses Simkoko
Instagram: @mosessimkoko
Youtube: Moses Simkoko

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

AUDIO | Ziyase - Shalapo

Audio

AUDIO | Ziyase – Shalapo

By February 26, 2020

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,808 other subscribers

To Top