Connect with us

VIDEO | Mombo Muinjilisti – Shetani Pisha

Video

VIDEO | Mombo Muinjilisti – Shetani Pisha

VIDEO | Mombo Muinjilisti - Shetani Pisha

Kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea Habari Njema kutoka kwa rapa wa nyimbo za Injili Tanzania Mombo Muinjilisti ambaye hivi karibuni ameachia video mpya ya wimbo wake unaoitwa Shetani Pisha.

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa, Eimen!

Kwa mawasiliano zaidi na Mombo Muinjilisti wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255759 122 254, +255 654 008 128
Instagram: @mombomuinjilisti
Youtube: Mombo Muinjilisti

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,804 other subscribers

To Top