Connect with us

VIDEO | Martha Anton – MAHALI HAPA NI PAZURI

Audio

VIDEO | Martha Anton – MAHALI HAPA NI PAZURI

VIDEO | Martha Antony - MAHALI HAPA NI PAZURI

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza leo tunamtambulisha kwako mwanamama Martha Antony na hii ni video yake nzuri ya wimbo unaoitwa MAHALI HAPA NI PAZURI.

“Bwana Yesu asifiwe mpendwa wangu nimekusogezea video yangu nzuri kabisa iitwyo mahali hapa ni pazuri unataka ujue mahali hapa ni wapi karibu utazame usisahau kulike ku-subscribe na kushirikisha na wengine na MUNGU akubariki.” – Martha Antony

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Martha Antony wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 754 954 230
Facebook: Martha Antony
Instagram: @antonmartha
Youtube: MARTHA ANTON

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top