Connect with us

VIDEO | MAGGY MGOMA – Najua Upo

Video

VIDEO | MAGGY MGOMA – Najua Upo

VIDEO | MAGGY MGOMA - Najua Upo

Habari Njema kutoka jijini Dar es salaam Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwanadada Maggy Mgoma kupitia video yake mpya ya wimbo mzuri unaoitwa NAJUA UPO.

Maisha ya mwanadamu ni kama story ilioandikwa kwa ubunifu mzuri sana na mwandishi ni Mungu mwenyewe. Ni Mungu anaeujua mwisho tangu mwanzo wa maisha ya mwanadamu.
Hes not surprised on whatever happens to us, because He is all knowing God. In every tear and every laughter we have to learn to see Him. Seeing Him in all of our situations in our daily life is A CHOICE. We choose to see Him or not in whatever comes on our way in our daily life.

This song is a reflection of my personal life story and encounter with God (Jesus).Ni maombi yangu Mungu wa mbinguni Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo amhudumie kila mmoja anaepata nafasi ya kuutazama na kuusikiliza wimbo huu.

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa, Eimen.

Kwa mawasiliano zaidi na Maggy Mgoma wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 415 714
Facebook: Maggy Mgoma
Instagram: @maggymgoma
Youtube: Maggy Mgoma

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,806 other subscribers

To Top