Connect with us

VIDEO | Kibonge Wa Yesu – Naenjoy

VIDEO | Kibonge Wa Yesu - Naenjoy

Audio

VIDEO | Kibonge Wa Yesu – Naenjoy

VIDEO | Kibonge Wa Yesu - Naenjoy

Habari Njema kutoka kwa mwimbaji anayendelea kufanya vizuri Tanzania al maarufu Kibonge wa Yesu ambaye kwa mara ya kwanza ameachia video mpya ya wimbo wake mzuri unaoitwa NAENJOY.

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa, Enjoy!

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Kibonge wa Yesu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 448 206
Facebook: Juma Kyando(Kibonge wa Yesu)
Instagram: @kibongewaYesu_official
Youtube: Kibonge wa Yesu official

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top