Connect with us

VIDEO | HOPE CHARLES – WEMA WAKO

Video

VIDEO | HOPE CHARLES – WEMA WAKO

VIDEO | HOPE CHARLES - WEMA WAKO

Habari Njema kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa WEMA WAKO kutoka kwa mwanadada Hope Charles.

“WEMA WAKO Ni Wimbo ambao unaelezea jinsi Mungu Alivyohana Kikomo katika kumbariki Mtu, Mwanadamu Anaweza kukusaidia na akaja tarajia malipo kutoka kwako, Mwanadamu Anaweza kukuacha katika nyakati zozote lakini Sio Mungu, Zaidi ni kumtegemea yeye na kumtumaini katika kila nyakati na utaona baraka zake Mara dufu, Barikiwa Sana na huu wimbo na ukamtukuze Mungu kwa Alichofanya kwako, Amen.” – Hope Charles

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Hope Charles Mwaifunga kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 801 001
Facebook: Hope Charles Mwaifunga
Instagram: @Hopecharlesmwaifunga
Youtube: Hope Charles

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,806 other subscribers

To Top